Hakuna mwenye kutaka kupakwa make up vibaya, hawa ndio wataalam watano wa make up ambao wana chipukia hutakii kuacha kuwafollow

 

 

gracie gracie2

Gracie au @charie_mals ni make up artist ambae pia ana safiri kufuata wateja walipo

 

the mua

index

Salma au @sallythemua pia nae ana wafuata wateja nyumbani

leilan leilan2

Leilan Beuty au jifunze_urembo pia ni youtuber unaweza kuona video zake za make up kupitia jina la leylanbeuty

asya asya2

 

asya.islam pia ni youtuber unaweza kuangalia video zake kupitia DivaAsya

homemakeuptips

 

 

@home_makeuptips pia mi youtuber unaweza kuangalia video zake kupitia VEGSWORLD_08