Kama uliangalia Vidoe Music Awards basi utakua unajua tunaongelea nini na kama hauku angalia basi ni kwamba International Super Model, Naomi Campbell alipakwa gritter lipstick ambayo kila mtu ameiongelea tukaona si mbaya tuka share na nyinyi ili mpate jinsi ya ku re-create kama utapendezwa nayo

37ABD98B00000578-3762909-image-a-60_1472440264403

Naomi alipakwa lipstick hii nyekundu aka slay na gauni jeupe 37ABDE0F00000578-3762909-image-a-62_1472440273692

Ku make a statement si lazima pochi au accessory hata lipstick ina weza kuwa statement accessory au signature look

angalia video hapo chini kupata muonekano huu

 

ANGALIA JINSI YA KUPATA NAOMI CAMPBELL GLITTER LIPSTICK

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com