Enjipai ni jina la kampuni ya mwanadada Nasreen Karim, ambayo ina deal na kutengeneza accessories za shanga. Ni moja kati ya kampuni ambazo tunajivunia kuwa nazo sio kwamba tu inatoa ajira lakini pia ina saidia kufanya utamaduni wetu uendelee kuwepo kwa kuchanganya na mitindo ya sasa.

ana vitu vingi ikiwepo hereni, cheni na mikoba ila kilicho tuvutia zaidi kwa sasa ni hizi colorful beaded clutch kutoka kwake.

Nasreen ameistyle hii clutch ya orange, gray na nyekundu mara mbili ambapo mara ya kwanza alivalia na orange crop top, skin jeans nyeusi na pumps nyeusi, so chic.

Mara ya pili alivalia na culottes ya kijani,  vest nyeusi akamalizia na nude heels na yellow beaded necklace, colorful  

 

Lakini mwingine alieonekena kuvutiwa na clutch hizi ni Sofia Byanaku ambae yeye aliivalia na denim shirt dress 

Lakini pia Jokate Mwegelo nae alionekana kuvutiwa nayo.

Hii ya blue, nyeupe, nyeusi na orange ni our favorite.

Zipo za aina nyingi unaweza kutembelea Instagram page yao @enjipai kujionea zaidi

Enjipai beaded clutch 👛 #newcolor

A post shared by Since 2010🇹🇿 (@enjipaijewelry) on

 

Aina nyingine

Enjipai beaded clutch made it to Zanzibar #enjipai 👛

A post shared by Since 2010🇹🇿 (@enjipaijewelry) on

Beaded Clutch Kutoka Enjipai

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com