Ana kwenda kwa Jina La Irene Lynn japo wengi wetu tuna mjua kama officiallyn ni model, mara ya kwanza kumuona ilikuwa katika video ya Raymond kutoka WCB “kwetu”.

leo yupo kama beauty crush wetu kutokana ku link na kila style ya nywele au make up, she goes with every thing

13249851_1204893909544101_1758693311_n

13267605_1727917047420849_7083636_n

hii make up ilifanywa na queennurumakeup it was very perfect & neat13628029_325878637782896_617877465536135168_n 14676488_1123495594353718_4056421071463645184_n

messy hair na bold black lipstick she looks beautiful14733116_1196633050403610_3148172570830831616_n