Darling Hair

Mwezi mtukufu umeisha tumerudi katikahali yetu ya kawaida, i maumaii yetu mme ejoy Eid. Week iliyo pita ilikuwa na weekend ndefu na kunapo kuwa na weekend ndefu ni furaha yetu maana tunapata muda wa kutembelea watu maarufu mbalimbali kuangalia wana kipya kipi na week hii mitoko ilikuwa mingi tulicho notice ni kwamba makeup artist wana jitahidi sana kufanya kazi zao na hizi ndizo tulizo zipenda

Tumependa hii makeup ya Wema Sepetu iliyo fanywa na LavieMakeup kila kitu kipo on point

Instagram model & video vixen Irene nae alipost picha zake akiwa amependeza na mavazi na simple makeup

 

Elizabeth Michael in nude makeup done by monibeatface

Jokate Mwegelo looking shimy shimmy in divaglam_beauty makeup

Beauty Looks We Love This Week

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com