Kama kuna kitu ambacho huwa tunaangalia linapo kuja swala na u-smart na kuwa stylish basi ni pamoja na nywele, when the hair is messy basi total ina haribu muonekano wako, msanii wa r’n’b kutoka Tanzania Ben Pol ana style mpya ya nywele & we are loving it.

 

 

Ben Pol ame dye nywele zake kuwa rangi ya kijani, well tumejiuliza kwanini kijani? tukaenda kwenye maana za rangi, rangi ya kijani ina maanisha rangi ya maisha tunajua tunaishi kutokana na mimea tunategemeana green color is color of life, ina maanisha energy, inamaanisha growth,harmony, freshness,safety,fertility and environment lakini pia traditionally green color isassociated with money, finances, banking, ambition.

Inawezekana Ben Pol ana tupa ujumbe kupitia rangi ya nywele zake, tuicho penda ni low cut aliyo kata na kuweka rangi hizo nywele ana weza kuzistyle na mavazi yoyote. tuambie wewe kwako ni yay au nay?

 

Ben Pol Low Cut Green Hair Style

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com