Inapo tokea mtindo basi wengi hutumia mtindo huo huo mmoja lakini kuna wengine hupenda kuwa watofauti kidogo, ilianza eye liner ya kawaida, ikaja winded eyeliner na sasa ime kuja bubble eye liner, hii kidogo ina hitaji ujuzi na mazoezi ya kutosha kui master

bb-trend-alert-bubble-eyeliner-600x350-picmobhome

katika video yake ya kuelekeza jinsi ya kupaka eyeliner hii Jenny ame tumia kijibati chenye duara kuanza kutengeneza hayo maumbo ya nusu duara kisha aka tumia brush ndogo kujazia, jaribu kuangalia na ukiiga tutumie picha kupitia email au kurasa zetu za instagram