Leo katika beauty crush yupo vj penny make up artist wake amempatia sana katika hii, kila kitu kipo on point kuanzaia nyusi, kope, lipstick na eye liner.

index

 

Jinsi ambavyo lipstick imekaa kwenye midomo bila kusambaa nje na  nyusi na eye liner zilivyo ishia kwa pamoja zimempa penny a perfect and smart lookpenny

Comments

comments