Kinacho kiki mtaani kwa sasa ni Curly Hair kwa kiswahili tunaweza kuziita nywele zilizo fungana fungana, watu mbalimbali wameonekana wakiwa wame weka nywele hizo kwa aina tofauti tofauti

13092466_817479538384499_983840339_n

Mwanamuziki Linah yeye ameoneka akiwa ame weka nywele izo lakini zikiwa za rangi ya brown 13129488_271179386557171_245307676_n

Mbunifu na Fashionista Mange Kimambi yeye amevalia nywele hizo za rangi ya Gold

12912663_1555595591400269_955147106_n

gigy money13129310_934786809972758_1413073820_n

Mimi Mars13129595_1707339612841625_1154305755_n

baby J

wakati wanamuziki Gigy Money, baby J na mtangazaji Mimi Mars wameonekana kufungana kwa kuvaa nywele hizo zikiwa na rangi nyekundu.

12907431_239427196408785_1226310050_n

wa mwisho ni fashionista wetu kutoka instagram Neneeblackchyna yeye ameonekana akiwa kavaa nywele hizo zikiwa na rangi nyeusi.