Dolce Gabana tunaifahamu kama ni kampuni ya nguo lakini pia ina uhusiana na vipodozi vipo vingi ila kwa sasa kampuni hii ya vipodozi ime leta kipodozi kipya kinacho saidia  huduma ya ngozi, kipodozi hiki kinaitwa aurealux serum ambayo ina saidia kuongeza mchakato wa ngozi yako ya asili kuzaliwa upya kipindi cha usiku. Pia husaidia kuongeza mng’aro wa ngozi yako kikamilifu na kuboresha uimara wa ngozi baada ya muda.

270x480-dolce-and-gabbana-skincare-aurealux-serum

JINSI YA KUTUMIA.

Paka pampu mbili za Aurealux Serum kila siku usiku tumia vidole vyako kuipakaza uso mzima na kwenye shingo.

DG-SKINCARE-graphics-large-serum3