No hate wala shade kwa miss Tanzania 2016/2017, lakini ana kubalije kupakwa make up ya namna hii na yeye kupost katika social media’s? kuna wakati Diana ana pakwa make up simple na ana pendeza kuliko maelezo kama hii hapa

Lakini akipakwa make up nyingi ana chukiza tofauti na akipakwa simple, tuna dhani Diana ana uhitaji wa kujitambua na kuchagua nani awe ana muhudumia katika swala zima la make up na mitindo