Elizabeth Michael ame post pictures zake akiwa na muonekano mpya, well sote tunajua ame kata nywele lakini kuna weaves na wigs za kutusaidia pindi tunapo hitaji kuonekana wa tofauti, na hiko ndicho alicho kifanya Lulu,

She rocked Bohemian Curls Wig, ambayo ime mfanya aonekane wa tofauti kidogo like mdada, make up ake ilikuwa on point as usual

amemaliza muonekano wake in very classy trouser, cleavage-revealing top na red pumps alizo match na lipstick yake

You gotta love lulu stlyes

 

ELIZABETH MICHAEL STUNS IN BOHEMIAN CURLS

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com