Tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wanakata nywele zao, lakini baada ya kukata wengi hukimbilia kuvaa ma wig au kusukia weaving ikatufanya tuwaze labda kwa sababu wanakosa style za nywele fupi za kuweka. Well tupa weaving kule as hii finger weave hair style is all you need kwa sasa.

Tumeona hii style kwa watu maarufu kama Cardi B na Amber Rose wamependeza mno hasa kwa kuongezea rangi za nywele,

Amber Rose

na hapa kwetu watu maarufu wengi wame badilisha mionekano yao kwa kukata nywele na kuweka rangi mfano Vanessa Mdee na Jacqueline Wolper tunadhani hii style ingewapendeza pia wakijaribu. Unaweza kufanya ukiwa mwenyewe nyumbani endapo tu kama unavifa vya kutosha. Click video hapo chini kupata kujua jinsi ambavyo unaweza kupata muonekano huu

Finger Waves Hair Style Kwa Wenye Nywele Fupi

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com