Mwanamuzi kutoka kundi la WCB wasafi ambae ana hit kwa kiba chake cha matatizo  Harmonize ame kuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na hii style yake mpya ya nywele, wengi wakisema kwamba haja pendeza ana pendeza akiwa na cuts za kiume za kawaida

Kiukweli si kila kitu wanacho fanya wenzetu nje na sisi ni lazima tufanye na kama tuna fanya basi pia tuangalie je itaendena na mionekano yetu?

harmonize kaamua kusuka na yeye, tulisha uona huu muonekano kwa jux, lakini yeye ame kuwa attacked zaidi sababu watu wana hisi akiwa na muonekano wa kawaida ana pendeza zaidi ya akijiongezea hivi

13671747_1581872298782957_1711736790_n 14052555_1281505068526240_611746557_n

huu muonekano wa kawaida wa Harmonize je wewe ume penda upi? kawaida au rasta?

ww

Tuachie maoni yako chini kwenye box la maoni