Urembo una mambo yake na kila siku mambo mapya yanaletwa na kwa sasa kinacho onekana kushika chat katika swala zima la urembo ni Fetaher Brow, Feather kwa kiswahili ni unyoya na brow ni nyusi hapo una pata idea ya nini kinacho ongelewa yaani nyusi zina chanwa katikati zinakuwa kama unyoya, make up artist Stella Siron alipost picha yake katika mtandao wa Instagram  siku chache zilizo pita akiwa ana matumaini kwamba ame anzisha trend na well she did it as kwa sasa kila make up artist ana jaribu ku re create muonekano huu

na hawa ni baadhi ya make up artist wengine walio jaribu muonekano huo

https://www.instagram.com/p/BSxh6yVgmTK/?taken-by=kelseemarie

Nyusi ni moja ya sehemu muhimu sana katika uso wako huwa zina beba uzito mkubwa sana, lakini pia ni sehemu ambayo you can have fun with.

Je wewe ni Team Fleek au Team Feather – brow?