Mwanamuziki, Mwanamitindo na Muigizaji Janelle Monae ambae wengi huwa tuna mpenda na style zake za nguo na nywele ame kuja na hii mpya ya kutumia pini za kuwafungia watoto nepi au nguo ikiwa ime haribika au haikutoshi kama accessory katika nywele zake. Tulivyo ona hii hair style mara ya kwanza kutoka kwake tukajua its a one time thing lakini mwenyewe ameonekana kuvutiwa nayo as ame irudia tena.

mara ya kwanza ali style nywele zake kama a rough up do hair style aka chomeka na hizi safety pin’s ame pendeza kuanzia make up nywele na accessories zake

Mara ya pili alitengeneza mafungu mawili ya nywele na ku accessorize na pini, akavalia palazo la pundamilia na crop top nyeusi.

Well ni vizuri kufikiria nje ya box wengi tuna hizi pins nyumbani lakini hutumika pale tu unapo hitaji kuvaa nguo isiyo kutosha au kum’badilishia mtoto nepi lakini kumbe unaweza kuzifanya zikawa accessories ila kuna madhara yake usipo kuwa muangalifu.

je kako ni Hit au Miss?

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Comments

comments