Kuna wale wenzetu na sie ambapo Hijab uvaliwa mwezi wa Ramdhani hadi mwezi wa Ramadhani, wengi wa aina hii kufunga hijab hatujui basi unaweza kuchukua mafunzo hapo chini kwenye video ni namna rahisi tu za kufunga hijab yako ukapendeza

https://www.youtube.com/watch?v=x0T5qn9rBZs