Ime zoeleka ukitaka kuwa na nyusi maridadi ni lazima uzichonge kwa wembe au nyuzi lakini si wengi ambao wana penda njia hizi, hasa kwa sasa ambapo watu wana penda kuwa naturally. Lakini naturally hii nayo isivuke mpaka huwezi kukaa na nyuzi hovyo hovyo kisa unapenda kuwa naturally hii ni namna rahisi zaidi ya kuchonga nyusi zako kwa kutumia bleach. Haikati nyusi za awali bali una bleach kufuatisha nyusi zako unavyo taka ziwe ili kujua zaidi tazama video hapo chini.