Darling Hair

Trending make up kwa sasa ni eye shadow ya cut crease, tume ona watu maarufu mbali mbali wakiwa wame paka hii make up kama Rihanna na Adele,

 

1448661826_cutcrease

Tukaona si mbaya tuka kuletea ujifunze namna ya kupaka kutoka kwa beauty vlogger wa Tanzania Leylan beauty au una weza kumpata kama @jifunzeurembo instagram enjoy the video

kama utajaribu kupaka au una maoni usisite kutuandikia kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

JINSI YA KUPAKA CUT CREASE EYE SHADOW

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com