Watu maarufu wananamna ya kufanya vitu vi-trend, kuna season ambapo unakutana na kitu cha aina fulani kimevaliwa au kubebwa na asilimia kubwa ya watu maarufu hapo ndipo unajua hichokitu kina trend kwa sasa.
Na season hii ambacho tumekiona kinatrend ni hii clutch kutoka kwa mbunifu Judith Leiberny, Inaitwa Stack Of Cash Clutch.

Sifa zake ni kwamba imetengenezwa kwa:
- Crystal-covered brass novelty handbag
- Silver toned metal hardware
- Top push down closure
- Metallic leather lined interior
- Removable long shoulder chain
- Judith Leiber Couture Collector’s Edition Nameplate
- Style Number M31961
- Made in Italy
Clutch hii inauzwa $5,695/- ambapo ni sawa na Tsh 13,114,446.00/-

Watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na hii clutch, its a big rich town & only rich people can afford it




Well Afromates kama utataka kununua ingia hapa judithleiber.com
Related posts
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!