Rapper Kanye West ana onekana ndio rapper asiye ishiwa vituko, siku chache baada ya mkewe kuibiwa na yeye kupata tatizo la mental break down Kanye alionekana tena mtaani baada ya kurudi alionekana akiwa ame weka bleach nywele zake kidogo kichwani lakini sasa amekuja na hii mpya.

Kanye ame bleach nywele zake zote na kuweka rangi ya pink kwa mbaali

3BA7D0A900000578-4067010-image-a-73_1482789328039

Kanye alionekana kwenye theater ya movie akiwa ame valia hoodie ya cream, Suruali ya kijeshi na boots za yeezy3BA7D09500000578-4067010-image-a-57_1482787989250

hatujui nini kina endelea na nywele za Kanye anaonekana kama ana rainbow kichwani anyways its Kanye being Kanye3BA7D11500000578-4067010-image-a-55_1482787963798

KANYE WEST KATIKA HAIR STYLE MPYA

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com