Anaitwa Kylie Jenner mdogo wa mwisho wa The Kardashian, juzi tu ame fikisha miaka 18′, Kylie amepata umaarufu kupitia dada zake lakini pia mitindo yake ya nywele na midomo. Kylie ambae ni mpenzi wa mwanamuziki Tyga amekua hapendi kutulia na nywele za aina moja mara nyingi amekua akibasilisha rangi ya nywele zake. hivi karibuni Kylie ameonekana akiwa ame badilisha nywele zake na kuwa za rangi ya kijani.

baadhi ya mitindo ya nywele ya Kylie

[URIS id=1565]