Mwanzo wa mwaka na wengi tunapenda kuanza mwaka kwa style mbali mbali za mavazi, nywele au tabia wiki iliyo pita tuliwaona watu kama Linnah, Zamaradi, Lulu na Jacqueline Ntuyabaliwe walivyo kata nywele wiki hii wapo Faiza Ally, Madam Rita wa Bongo Star Search,Lady JayDee na Mwanamitindo Carolyne Bernard walivo amua kukata nywele za pembeni na kubakisha za katikati kisha kusuka rasta.

12356381_940679979333622_1128391340_n

Rita Paulsencarolyne bernard

Caroline Bernardfaiza

Faiza Ally jaydee jide

Lady jayDee