Kama ni mpenzi wa make up basi utakua ume notice watu wengi wanapaka make up design moja sasa hivi, si kama zamani watu walikua wakipaka make up rangi nyingi nyingi kwa sasa watu wengi hupaka rangi moja na simple eyeliner. Design hii ni simple na unaweza kupaka wakati wowote kokote.

hawa ni baadhi ya watu maarufu kutoka hapa hapa bongo walio tokelezea na kupendeza na aina hii ya make up

LULU

Elizabeth Michael ame pendeza na neutral make up yake akiwa ame valia na blonde wig PENNY

Penny akiwa ame weka red bold lipstick na makeup yake ya gold na nyeusi VANESSA

Vanessa nae ame paka neutral makeup na blonde wigWOLPER

wakati wolper ameenda na nude kila kitu