Inaonekana makeup artist wanaendelea kutuletea trends mbali mbali mwaka huu pia, mwaka jana tuliona Christmas tree eye brows na squiggle brows tukajua hizi funny trends zitaishia 2017, lakini to our suprise tumeingia nazo mwaka 2018 tena mwaka huu zimeanza mapemaa, well ukiingia katika mitandao ya kijamii almost asilimia 50% ya make up artist wamepaka huu wanja ambao wameupa fish tail yaani mkia wa samaki.

Wanja huu upakwa kawaida mwanzoni lakini mwishoni wana fanya kuutengenisha mmoja unaenda juu kabla ya kufika mwisho na mwingine unabaki chini kama ambavyo mkia wa samaki ulivyo, tuna furahi kuona upande wa urembo pia wana jaribu kuleta vitu vipya siku mpaka siku.

Lakini tunajua Nyusi zina play part kubwa sana katika muonekano wa uso wako almost mtu anapo kuwa ana kuangalia cha kwanza ku notice ni zenyewe je kwa trend hii utapaka na kwenda nazo wapi? kwetu Africa watoto wata kuzonga na yoyote utakae kutana nae ata kushangaa sio kitu ambacho ni cha kawaida ajapo ni vizuri kuona upande huu wa pili una tuletea vitu vipya pia.

It’s a good trend for a twitter, Instagram and facebook show off but hatudhani kama ni sawa kutoka nazo nje ya hapo, tuambie wewe kwako unaionaje hii trend?