Tyra Banks wote tunamjua kama mwanamitindo wa kimataifa lakini pia kutokana na kipindo cha American Next Top Model kutokana na kazi yake Tyra ana chukuliwa kama kiungo kikubwa katika mitindo. Trya ni mjasiriamali ambae amewekeza katika urembo na bidhaa yake inaitwa Tyra Beauty.

tyra

Juzi Tyra amezindua mascara ambayo inaonekana kuwa tatizo katika zile kampuni zinazo tengeneza kope za bandia kwa kuwa Mascara hii ina kupa muonekano kama wa kope bandia, Kama wewe ni mwanamke upendae urembo lakini hupendi kujibandika bandika mavitu basi hii haiyakiwi kukosa katika vipodozi vyako

index

 

Comments

comments