Wengi wetu tuna tatizo la kukatika kwa nywele na pia nywele kuwa kavu sana, hii hutokana na sababu mbali mbali kama kutozijali nywele, diet au hata maji ambayo tunatumia kuoshea nywele zetu. Hii hair mask itakusaidia kuipa nywele yako unyevu na ku repair nywele zilizo katika

Tumia

-mafuta ya nazi

-olive oil

-yai

Vichanganye kwa pamoja kisha paka kwenye nywele na ukae navyo kwa dakika kumi na tano na uoshe, osha vizuri kwa maana mayai kidogo huwa na harufu ambayo si nzuri osha vizuri mayai na harufu yake iishe Angalia video chini kwa maelezo zaidi