Kinacho trend kwa sasa kwenye upande wa urembo ni ku-match rangi ya kucha na rangi mdomo (lipstick) ukituuliza afroswagga nini maoni yetu kuhusu trend he tutakujibu we are loving it, ina kupa ule muonekano wa classy fulani yaani putted together, na hupati shida ya kuhangaika uvae nguo ya aina gani ili iendane na rangi ya kucha lipstick got you all covered up.

ideas chache ambazo tumeziona na zimetuvutia ni hizi hapo chini una weza uka vuka mipaka kwa kuwa crazy na kupaka crazy colors go beyond your comfort zone

for the love of red

 

nude babesĀ 

burgundy (our personal favs)

dark\deep red

Gritters zipo so in kwa sasa so glitter it

kama utajaribu husisite kupiga picha na hakikisha una tutag kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz