Ukifunga mara nyingi maji hupungua na hii upelekea ngozi kukauka na kukosa mvuto kwa kukosa maji, haya ndio matunda unayo paswa kula wakati wa kufungulia ambayo yata kusaidia kuipa ngozi yako unyevu na unyororo unao takiwa

1) tikiti maji lina contain 92% ya maji

 

fustany-beauty-skincare-17 hydrating fruits for your skin during ramadan-watermellon_zpszbpgio52

2)strawberries nazo ni kama tikiti maji zina contain 92% ya maji

fustany-beauty-skincare-17 hydrating fruits for your skin during ramadan-strawberries_zpsrzuqfuis

3)Nanasi lina contain asilimia 87 ya maji

fustany-beauty-skincare-17 hydrating fruits for your skin during ramadan-pineapples_zpswcahomwn

4)zabibu zenyewe zina contain asilimia 85 ya maji

fresh-blueberries1

5) na Apple na Peas zina contain asilimia 84 ya maji

fustany-beauty-skincare-17 hydrating fruits for your skin during ramadan-apples_zpsw4wjgxgp

fustany-beauty-skincare-17 hydrating fruits for your skin during ramadan-pears_zpsf4eij2jb

MATUNDA YA KULA MWEZI HUU KWA AJILI YA NGOZI YAKO

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com