Darling Hair

Si maziwa ya mgando tu ya aina yoyote ambayo una weza kutengenezea hii facial mask, ina bidi ununue maziwa ambayo hutambulika kama greek yogurt haya yana tofauti kidogo na maziwa ya mgando ya kawaida ambapo huwa soft zaidi, mazito na yana protein nyingi kuliko fat

maziwa haya ya mgando husaidia kuipa ngozi ya uso wako unyevu (moisturizing) na kukufanya uwe na uso wenye ngozi nyororo

Mahitaji:

Greek Yogurt (maziwa ya mgando)

Asali

Limao

Zabibu

diy-moisturizing-greek-yogurt-face-mask-1

Changanya mahitaji yako yote kisha saga (kama ni kwenye blender au kutumia mikono) mpaka upate rojo nzuri iliyo changanyika vizuri kisha paka usoni hadi shingoni na ukae nayo kwa dakika 20, Osha kwa maji ya vuguvugu na upake mafuta yoyote unayo tumia.

MAZIWA YA MGANDO NA FAIDA ZAKE KATIKA NGOZI YA USO

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com