Tunajua namna ambavyo nywele zinaweza kukamilisha muonekano wako, zinaweza kuharibu au kuboresha muonekano wako. Katika pitapita zetu katika mitandao ya kijamii tumeona baadhi ya mitindo ya rasta ambayo imeonekana kuwavutia wengi na ina trend kwa sasa, tukaona tuwaletee ili muweze kupata idea ya mtindo gani unaweza kusuka unapotaka kwenda kubadilisha muonekano wako.

feed-in braids are so in right now, watu maarufu mbalimbali wameonekana wakisukia, unaweza kusuka kichwa kizima au nusu kichwa. We love this style kwa maana iko stylish and unique most of all hatujawahi kuona mtu amechukiza in it. Unaweza kutumia rasta za Abuja Lines Braids kutoka kwa kampuni ya Darling kupata muonekano huu.

Half feed-in braids half wave weaving, kama katika pitapita zako hujakutana na hii style sistah who are you following? karibu kila mtu amesukia hii style sisi tunaiita undecided maana ni kama hujui unataka weaving or braids and this combination is just Yummy, unaweza kujaribu pia. kama ungependa kujaribu na hujui weaving gani inafaa sisi tuna recommend “weaving la Veronica kutoka kwa kampuni ya Darling” hutojutia.

You can never go wrong with bob, na hili joto zinafaa zaidi, spice up your braids kwa kuongezea some accessories kufanya u-stand out. unaweza kusikia bob kwa rasta za darling ziitwazo “ZANZI” zenyewe tayari ni fupi hupati usumbufu wa kukata kata lakini pia ni nyepesi, thanks us later.

Kinky Crochet Style, Crochet style ni style ambayo haikati nywele zako ni protective hair style lakini pia huichukui muda mrefu kusuka, Kwa sasa inaonekana Kinky crochet style inatamba sana unaweza kupata muonekano huu kwa kutumia soft kikny braids kutoka kwa kampuni ya Darling na ukadamshi kinomanoma.

Kujua zaidi namna ya kupata nywele za darling ingia hapa @darlinghairtanzania

Comments

comments