We have a gucci situation kwa wanamuziki wawili, ambapo tuna Monica Brown na Victoria Kimani. Tume wa-spot hawa wasanii wawili wakiwa wamevalia miwani kutoka katika brand ya Gucci ambayo inauzwa USD 1,240 sawa na Tzs 2,852,000/-

Miwani hii ya gucci na flame nyeusi ambayo imezungukwa na maandishi yenye Crystal zilizo andikwa jina la brand hio ambayo ni Gucci,

Afromates are you feeling this sunnies and the price tag?

Monica Brown Na Victoria Kimani In Gucci Mask Frame Sunglasses Za TSh 2,852,000.00

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com