Si kazi rahisi kukuza na kuzi staili nywele zisizo kuwa na dawa, ndio maana asilimia nyingi ya wanawake dunia wana relaxer (kutia dawa) nywele zao ili iwe rahisi kwao wakati wa kuzi staili na kuzikuza, Anaitwa Leilan ni Make up artist kutoka Tanzania pia ana tengeneza nywele leo kutoka  kwa Leilan tuna jifunza jinsi ya kuweka mawimbi katika nywele zisizo kuwa na dawa yaani natural hair. ukipenda una weza kumfollow leila instagram @jifunze_urembo kwa kujifunza mengi mengine kutoka kwake.

NAMNA YA KUTENGENEZA MAWIMBI KWA NYWELE ZISIZO NA DAWA

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com