Mwanamuziki  wa bongo flava Nedy Music ambae yupo kwenye list yetu ya wakaka wanao vaa wakapendeza Tanzania amekuja na style hii mpya ya nywele ambayo tumesha iona kwa wasanii mbali mbali akiwepo Diamond Platnumz, Na wengine wengi. Seems like Nedy alikua ana subiri vugu vugu lipungue na yeye ajitengeneze

Ame sukwa nywele ndogo ndogo mikia ikaja kuunganishwa na one big cornrow

Pembeni akiwa amenyoa na kati kati ime sukwa tu nywele moja (yebo yebo) kubwa

well fashionistas wetu tunaiitaje hii style na je ni yay au nay?