Rapper Nicki Minaj ame debut new hair style, hii hair style ameitumia katika video ya wimbo mpya alio shirikishwa na Migos huku mwanadada Cardi B akiwepo pia unaoitwa motorsport, well no beef. Nicki ameonekana akiwa amesukia rasta za pink ndefu mpaka miguu (it might be a wig)

The braids are ombre juu pink imekoza chini ni light pink, hair style inaitwa formation tour braids, ni moja ya style ambazo alizisuka Beyonce katika tour yake ya Formation mwaka huu na ikapendwa sana, Nicki yeye ameongezea urefu na rangi tofauti.

katika video Nicki amevaa iron body suit na clear boots, watu wanamuita robot sophia anae tamani kuwa na mtoto but she looked good, kama sio wig unadhani ametumia bunda (bundles) ngapi kusukia? na imechukua muda gani? would you dare kusuka hivi?

Nicki Minaj Asukia Rasta Ndefu Sawa na Urefu Wake

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com