Mwanamuziki Rihanna ambae kwa sasa ana shika chat katika maswala ya mitindo pia, Rihanna ana clothing line yake na pia ana shirikiana na makampuni mengine kama Puma kutengeneza viatu etc. Safari hii kaja na Fenty Beauty na kwa jina tu tumehisi itakuwa ni Cosmetic Collection kwa wale Makeup Artist mkae mkao wa kula na hili.

Kupitia account yake ya twitter Rihana alitangaza kusema Fenty Beuty itakuja au kuwa released msimu wa Fall mwaka huu

Kwa sasa haija julikana atakuja na kitu gani ila kinacho julikana ni kwamba zitakuwa realesed chini ya LVMH-owned Kendo Brands, a subset of Sephora that focuses on indie, celebrity brands like Marc Jacobs Beauty and Kat Von D’s namesake cult cosmetics collection

Sote tunajua Rihanna don’t play na we cant wait kuona whats coming.

RIHANNA ANA KUJA NA FENTY BEAUTY

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com