Siku ya jumatano wiki iliopita Kampuni ya Apple ilitangaza kuungana na Hermès kutengeneza saa za ngozi, Saa hizi zitaingia madukani mwezi ujao (10) zitapatikana katika maduka ya Apple na Hermès, zina uzwa bei kuanzia $1,250 ambapo ni Tsh 2’500’000 hadi $1500 sawa na 3’000’000 za kibongo.

MTMyOTEyMjY4NjYzOTEwMzcw MTMyOTE0MjExMDYyODY5OTg2