Leeni Ojaniemi ni mwanadada kutoka nchi za Magharibi ambae alikuja Africa kwa lengo la kutokomeza Malaria, ana sema Africa ime kua kama nyumbani kwake na anataka kusaidia.

Amependa ubunifu wa Africa “Nimebuni bangili kutokana na muongozo kutoka kwa wasanii wa nchi hii (Ghana), na heshima kutoka njia ya awali, shangaza zime kuwa ziki tengenezwa na kupakwa rangi kwa muda mrefu. Shanga zina tengenezwa kutokana na mabaki ya chupa, ambapo chupa zina vunjwa na unga unga wa chupa unaungwa kwa moto kutengeneza shanga mpya, kabla zina pakwa rangi au kuchorwa halafu zina tengenezwa kwa namna ipendezayo. Tunataka kutengeneza kitu kizuri cha staili ya pekee na kushehereke utengenezaji wa mikono kutoka kwa watu wa Ghana.

 

N2M_04_N2MBeadVillageChildrenMalariaProtection-vogue-29july15-pr_b_646x430
N2M_05_N2MBeadPainting-vogue-29july15-pr_b_1080x720
N2M_015_N2MBeadPainting-vogue-29july15-pr_b_1080x720
N2M_031_N2MBraceletPresentation1-vogue-29july15-pr_b_320x480
N2M_014_N2MBeadPainting-vogue-29july15-pr_b_1080x720
N2M_08_N2MChildrenReceivingNets_small-vogue-29july15-pr_b_646x430
N2M_016_N2MBeadProductionVillage-vogue-29july15-pr_b_1080x720
N2M_023_N2MBracelets7-vogue-29july15-pr_b_646x430
SANAA YA AFRIKA YAJIKUZA YENYEWE

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com