Jokate Mwegelo aliwahi kushika nafasi ya pili katika miss Tanzania 2006, Jokate alitumia nafasi hio kuonyesha vipaji vyake vingine kama uigizaji wa filamu, muziki na sasa ujasiriamali wa nywele na viatu vyenye jina lake. Hivi karibuni ametoa sneak peek ya nywele zake ambazo tunahisi zitakuja hivi karibuni Kidoti Hair 2016 akiwa ame washirikisha wana mitindo kama Hamisa Monetto, Tunda na Husna Maulid

926457_196533180720854_1900642523_n 11821808_961890317232515_1928599547_n 12783410_1705013299782430_1290925175_n 12797961_1687570894814158_1310987288_n