Mwanadada Solange Knowles ambae ni mdogo wa Beyonce Knowles ame onekana akiwa na style mpya ya nywele ambayo ina turudisha miaka ya nyuma sana , huu ni urembo wa nywele ambao ume tengenezwa ki Africa, kwa kutumia mbao pia seashells

cowrieshells Free-Shipping-50Pcs-Lot-hair-braid-dread-dreadlock-font-b-wooden-b-font-Bead-cuff-font

Solange aliamua kutumia almost kila african bead hair accessories zikiwemo sea shells, wooden hair clips, hair accessories za chuma etc.

Battan-Solange-Knowles-1200-790x444 Screenshot_2016-10-12-20-59-26-1

Wakati Vannessa yeye alitumia zile za mbao tupu

14540696_1297446560280191_3486925012357611520_n 14717556_1155079124586248_382814176008994816_n

We are here for this trend, thinking about rocking it too… tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

Comments

comments