Ulikuwa una taka kuwa wa tofauti au ku pimp nyusi zako ziwe kitofauti? huu ni wakati wako inaonekana make up guru’s wamekuja na hii style mpya ya kuweka nyusi, honestly inakuwa kama nyoka au matuta ya barabarani inapinda pinda, lakini imeonekana kupendwa na watu wengi na ina trend kinoma noma huko duniani (kwenye social networks)

Je mmeipenda hii trend au lah?

 

Tuambie kupitia mitandao yetu ya kijamii, na kusoma trend nyingine ingia hapa