Unapo ongelea Fashion kuna sekta nyingi ikiwepo ubunifu wa vitu mbalimbali kama mavazi na urembo (hereni, mikufu, bangili) na vingine vingi. Kwa sasa katika sekta ya urembo inaonekana statement earrings ndio zipo kwenye chat, ukipita mitandaoni unakutana na fashionistas na watu maarufu mbali mbali wakiwa wametupia.

Tassel earrings zipo so in right now unachotakiwa kufanya ni kuchagua zinazoendana na uso wako na ziwe kubwa kidogo kuliko zilizo zoeleka

Pearls earrings they never go out of style, pup a pop of color in your outfit.

Dropped earrings

 

Unaweza kuzipata @manyatta 101 pia @accessories_tz

Hii ni earrings face shape guide, kama unataka kujua ni hereni gani zinafaa kuvaa na shape ya uso ipi jifunze hapo chini.

Comments

comments