Tunakumbuka kuongelea kuhusu nywele kwamba unaweza ukawa na nywele zako bandia chache lakini zenye quality nzuri hata kama ni gharama sana lakini ni afadhali maana itadumu na unaweza kubadilisha utakavyo, Well sote tunajua kwamba katika vitu ambavyo wanawake wanavipenda ukiachana na viatu,mavazi na jewelry ni nywele, ni mara chache kukuta mwanamke haja tengeneza nywele zake vizuri lakini kuna wale wengine ambao uenda extra miles wakipenda kitu na hii imetokea huko Nigeria ambapo mwanamitindo¬†Chika Lann amesema style yake ya nywele aliyo sukia “kiko hairstyle” imemgharimu Milioni 40,000,000/- za ki Nigeria (Naira) ambapo ni sawa na Milioni 252,784,000/- za Tanzania.

Akiwa ana fanya interview na Pulse Nigeria mwanamitindo huyu amesema yeye anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha alimradi a-stand out na kuwa unique tofauti na wengine

 

Well hair style yake ni kama zile nywele za uzi zilikuwa zinasukwa zamani, only hizi zimesukwa ndefu na kuwekwa katika style nzuri. Tuna maswali mawili tu Je analalaje usiku? Na kwako wewe msomaji unadhani ni kiasi gani upo tayari kulipia katika kutengeneza nywele zako.

Tuambie kupita account zetu katika mitandao ya kijamii

Style Hii Ya Nywele Ina Thamani Ya Milioni 252,784,000.

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com