Huyu dada ni make up artist ambae ni vloger  yaani hutumia Youtube channel yake kuonyesha uwezo wake wa kucheza na make up.  katika zote hii ya taylor swift ime tuvutia jinsi alivyo jibadilisha kutoka kuwa yeye hadi kuwa mwanamuziki Taylor Swift

1-10 Each-shade-that-she-puts-on-is-meant-to-give-more-dimension-to-your-face.

hapa akijaribu kuchonga sura yake ili apate muonekano wa uso mwembamba kama wa Taylor

angalia video kujifunza zaidi na kama una weza kujaribu pia

 

TAYLOR SWIFT MAKEUP TRANSFORMATION

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com