Darling Hair

 

Kinacho trend kwa sasa upande wa urembo ni hizi hereni za tassel ambazo zinakuwa na kamba kamba chini zinaweza kuwa za kamba au shanga nk.

Trend imeonekana hasa kwenye runways za wabunifu lakini pia hata kwa fashion bloggers na watu maarufu. Tumeipenda hii trend kwa sababu zinavalika popote na zinaendana na mavazi mbali mbali kama gauni,suruali,skirt etc.

trend ina tegemea na uendapo kuna zile fupi una weza kuvaa kazini, business meetings etc na kuna zile ndefu una weza kuvaa kwenye sherehe au dinner dates

 

Inakufanya uonekane chic na zina bright uso wako as nyingi zipo colorful japo unaweza kupata ambazo hazina rangi sana.

Tanzania unaweza kushop – @manyatta_101

TSHS. 20,000 ONLY . #earrings #tassels #tasselearrings #blue #mosaic #dangle #dangling

A post shared by MANYATTA (@manyatta_101) on

pia zinapatikana – @enjipai

How beautiful are these beaded Enjipai tassels 💛❗️NEW❗️available

A post shared by Since 2010🇹🇿 (@enjipaijewelry) on

Lakini pia – @accessories_tz

Tassel Earings Kwa 5,000 Piga, Text au Whatsapp 0719160131 Zipo Dar

A post shared by Based in 🇹🇿Since April 2016 (@accessories_tz) on

kusoma trend talk nyingine bonyeza hapa, na hapa until next tuesday xoxo

Trendy Talk Tuesday: Tassel Earrings

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com