Inaweza kuwa ndio trend mpya baada ya tiny glasses sasa au ni vile tu ambavyo wenyewe wamependa kuwa wa tofauti. Tulianza kuiona kwa mwanamuziki Vanessa Mdee ambapo alivaa frame tu ya miwani bila kioo chake yaani kama zile miwani tulikuwa tunatengeneza utotoni bila ya kioo tunatumia tu wire (waya).

Vanessa tumemuona mara nyingi akiwa amevaa miwani yake hii lakini mara ya kwanza aliivaa akiwa ameenda Bukoba kwenye show yake,

Wakati leo tume mbunifu Draya Michele akiwa ame attend kwenye red carpet ya ESPY na yeye akiwa amevalia Eyeglass Frame yeye alivalia na gauni ya purple

Well tuambie je uta jaribu kuvaa hii trend?