AINA YA NGOZI ni kitu muhimu sana kujua ngozi yako ni ya aina gani kama ni ya mafuta au kavu, na kama ni ya mafuta katika msimu huu wa baridi una takiwa kupaka kwanza mafuta au lotion unayo itumia kabla ya kupaka vipodozi na kama ni kavu unakiwa kupaka mafuta/lotion kidogo.
Tumia foundation ya kimiminika/mafuta katika sura yako ili kupata muonekano laini, kwa sababu kwatika kipindi cha baridi ngozi hupauka.
baada ya kupaka foundation paka poda ili kupata muonekano mzuri
chagua vipodozi vya macho/vivuli vya macho vilivyo tulia kama rangi ya kahawia au kijivu kupaka juu ya sehemu ya jicho lako ili kupata muonekano mzuri ulio tulia.
tumia blush ambayo itang’aza ngozi yako ili usipate kuonekana ume pooza
tumia mascara nyeusi kupaka kwenye kope zako za juu na chini
FOLLOW US!