1) MFUKO WA RAMBO

Plastic-Shopping-Bag

Muhimu kubeba mfuko wa rambo msimu wa mvua husaidia kukinga nywele zisilowane, inawezekana ikaonekana kiswahili mno lakini mfuko huu unasaidia sana hasa kama mvua imezanza ghafla na haukubeba mwamvuli “wanawake hujali nywele kuto kuloa kuliko mavazi yao”

2) KOTI LA MVUA

white-color-Ladies-Dress-Trench-Raincoats-ideas

Koti la plastic ni muhimu hasa likiwa na kofia juu hii upunguza mizigo mingi kama mwamvuli na mfuko wa rambo maana lenyewe lina kufunika kuanzia juu hadi chini, hivo huto lowanisha nywele wala mavazi.

3)VIATU

img58592026

Hakikisha una beba viatu vya ziada hasa kwa wadada kipindi hiki huwa kuna matope kama umevaa sandals zinaweza kukatika au zika kuchafua miguuni na tope, beba viatu vya ziada kama raba au boots za mvua hili kuepukana na hayo.

4) MAFUTA YA MGANDO/LIP BALM

2_488x313Lockups_LipTherapy901-303260

Hakikisha una mafuta ya mgando na lip balm kipindi hiki unapauka mwili na midomo kukauka. vitakusaidia kulainisha ngozi na kuzuia midomo yako kuchubuka

Comments

comments