Unapokuwa msanii au mtu maarufu basi huwa unatafuta kila aina ya style ambayo itakufanya uonekane tofauti na wengine, safari hii mwanamuziki Yemi Alade kutoka Nigeria na Nigerian Tv Host Denrele Edun wameonekana ku rock hii hair style ambayo kwetu tumeona inafanana kwa kiasi fulani

Denrele rocked his hair style with a plaid suit, accessorizing with a red watch

Wakati Yemi yeye ali rock hair style yake na white number akiwa ame accessorize na tassel earrings na simple makeup with dark lipstick

well tunaweza kusema kuiona hii hair style tumekumbuka brush la kiwi like you can just use Yemi & Denrele head’s to brush your shoes, anyways its all about daring & creating

Yemi Alade And Denrele Edun Rocking Same Hairstyle And Its Not A Average Hair Style

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com