Style Ya Nywele Ya Kidoti Inavyo Haribu Nywele Zako
Hii style imekuwa maarufu sana, ni style rahisi kuibana lakini pia ni style ambayo unaweza kwenda nayo popote iwe kazini, kwenye mitoko ya kawaida na sehemu nyingine mbalimbali. Kutokana na urahisi wake wa kubana na kuwa useful wengi wetu tunapenda kuitumia mara kwa mara, lakini…
Reviewing Zuchu New Song Cover
Zuchu ni msichana mdogo na we can tell kwamba anapenda ku-explore vitu vipya na kujaribu kufikiri nje ya box. Ametoa wimbo mpya uliopewa jina “sukari” na kwa hype ya huu wimbo tulikuwa tunasubiri kwa hamu kuona video yake kwa bahati mbaya kwa sasa ame-release audio…
Perfect Bra Check
Kama kuna kitu ambacho huwa kinasumbua wanawake wengi ni kujua perfect bra ipoje. Wengi wetu tunavaa blazia tukiwa hatujui kumbe tumekosea sio size zetu, mfano unaweza kukuta blazia imekutosha kote lakini nyama za pembeni zinaonekana, au nyama za juu hapa kifuani zimetuna wenyewe tunaita ku-boost,…
Namna Ya Kuboresha Afya Yako Wakati Huu Wa Isolation
Kama ambavyo sote tunajua tumeambiwa tuepuke misongamano, kuna wale ambao wameambiwa wafanyie kazi nyumbani, kuna wale ambao wanaenda kazini lakini wana practice social distance etc. Hii inapelekea wengi wetu kuwa nyumbani na kuwa karibu na vyakula, lakini pia kufungwa kwa sehemu za mazoezi ( gym…
Style Ya Nywele Ya Kidoti Inavyo Haribu Nywele Zako
Hii style imekuwa maarufu sana, ni style rahisi kuibana lakini pia ni style ambayo unaweza kwenda nayo popote iwe kazini, kwenye mitoko ya kawaida na sehemu nyingine mbalimbali. Kutokana na urahisi wake wa kubana na kuwa useful wengi wetu tunapenda kuitumia mara kwa mara, lakini…
Reviewing Zuchu New Song Cover
Zuchu ni msichana mdogo na we can tell kwamba anapenda ku-explore vitu vipya na kujaribu kufikiri nje ya box. Ametoa wimbo mpya uliopewa jina “sukari” na kwa hype ya huu wimbo tulikuwa tunasubiri kwa hamu kuona video yake kwa bahati mbaya kwa sasa ame-release audio…
Diamond Platnumz & Juma Jux Serving Us After Quarantine Body Goals
Tulishawahi kusema kuna aina mbili ya watu watatoka katika karantine Ambao watakuwa body goals Wale ambao watatoka wameharibu body goals zao Well Wanamuziki Juma Jux na Diamond Platnumz wao wameonekana kutumia muda ambao tulikuwa tunatakiwa kukaa mbali na misongamano kutengeneza body goals zao. Hapana hatusemi…

Kama Una Mwili Kama Wa Diamond Platnumz Tips Hizi Zitakusaidia Katika Muonekano Wako – Inverted Triangle
Umeshawahi kukutana na mwanaume kavaa nguo ambayo ikakufanya ujiulize kwanini lakini? mbona haiendani na mwili wake? mara nyingi ina tokea right? hii ni kutokana na kwamba wanaume hawafocus sana katika haya mambo, si kama wanawake lakini hio ndio sababu ya sisi kuwahapa t kuwafunza na…
Mitindo ya Nywele
Za Moto Moto
Style Ya Nywele Ya Kidoti Inavyo Haribu Nywele Zako
Hii style imekuwa maarufu sana, ni style rahisi kuibana lakini pia ni style ambayo unaweza kwenda nayo popote iwe kazini, kwenye mitoko ya kawaida na sehemu nyingine mbalimbali. Kutokana na urahisi wake wa kubana na kuwa useful wengi wetu tunapenda kuitumia mara kwa mara, lakini…
Wasanii Jifunzeni Kutoka Kwa Jlo, Lagy Gaga Na Demi Lovato
Jana ilikuwa siku ya kuapishwa kwa rais mpya wa marekani Dr. Joe Biden, watu maarufu mbalimbali walialikwa kutumbuiza katika sherehe hiyo. Watu kama Lady Gaga, Jennifer Lopez na Demi Lavato walitumbuiza katika siku hio, na kilicho tuvutia mpaka tukafikia kuandika hili andiko ni mavazi yao….
Reviewing Zuchu New Song Cover
Zuchu ni msichana mdogo na we can tell kwamba anapenda ku-explore vitu vipya na kujaribu kufikiri nje ya box. Ametoa wimbo mpya uliopewa jina “sukari” na kwa hype ya huu wimbo tulikuwa tunasubiri kwa hamu kuona video yake kwa bahati mbaya kwa sasa ame-release audio…
Mavazi Yanayofaa Kwa Wenye Maziwa / Matiti Makubwa
Kila binadamu ana kitu ambacho kimepungua au kuzidi mwilini mwake, kuna wale ambao wana matiti madogo, kuna ya wastani na kuna ambao tunayo makubwa, Ikiwa tulisha ongelea kuhusu matiti madogo leo tumeona tutoe Tips za wenye makubwa, mtajiuliza kwanini tumeruka kwenye wastani? kawaida mavazi mengi…